HOW TO ROOT YOUR PHONE
Nini maana ya kuroot??
Kuroot simu ni kitendo cha kuifanya simu iweze kufanya mambo ambayo hayawezi kufanyika katika mfumo wa kawaida wa android.

  Nini faida ya kuroot simu yako?

  • Kubadili mwandiko
  • Kuweka custom ROM
  • Kununua vitu bure katika apps
  • Kufuta app zilizokuja na simu
  • Kuondoa matangazo
  • Kuongeza kasi ya simu
  • Kupunguza matumizi ya battery


Hasara za kuroot

  • Kuondoa warranty
  • Hutoweza kupata updates na ukipata hutoweza kuziinstall
  • Uwezekano mkubwa wa kuharibu simu yako


JINSI YA KUROOT
Kuna njia nyingi za kuroot lakini njia hii nayoenda kukufundisha ndio njia nzuri zaidi!

HATUA:

  • Pakua KINGROOT PAKUA HAPA
  • Hakikisha umeunganishwa na mtandao wa internet
  • Bonyeza "TRY ROOT" nasubiri mpaka itapofika 100% (Simu inaweza kuzima na kuwaka wakati wa hatua hii, ni kitu cha kawaida na hakina madhara yoyote)
  • Baada ya kumalizika utapokea ujumbe"ROOT SUCCESSFULLY" pamoja na tiki
Hongera, umefanikiwa kuroot simu yakoEndapo umekutana na ugumu wowote, nijulishe katika sehemu ya maoni