HOW TO ROOT YOUR PHONE |
Kuroot simu ni kitendo cha kuifanya simu iweze kufanya mambo ambayo hayawezi kufanyika katika mfumo wa kawaida wa android.
Nini faida ya kuroot simu yako?
- Kubadili mwandiko
- Kuweka custom ROM
- Kununua vitu bure katika apps
- Kufuta app zilizokuja na simu
- Kuondoa matangazo
- Kuongeza kasi ya simu
- Kupunguza matumizi ya battery
Hasara za kuroot
- Kuondoa warranty
- Hutoweza kupata updates na ukipata hutoweza kuziinstall
- Uwezekano mkubwa wa kuharibu simu yako
JINSI YA KUROOT
Kuna njia nyingi za kuroot lakini njia hii nayoenda kukufundisha ndio njia nzuri zaidi!
HATUA:
- Pakua KINGROOT PAKUA HAPA
- Hakikisha umeunganishwa na mtandao wa internet
- Bonyeza "TRY ROOT" nasubiri mpaka itapofika 100% (Simu inaweza kuzima na kuwaka wakati wa hatua hii, ni kitu cha kawaida na hakina madhara yoyote)
- Baada ya kumalizika utapokea ujumbe"ROOT SUCCESSFULLY" pamoja na tiki
9 Comments
Natumia bravoz11 inakataa ku root
ReplyDeleteNatumia tecno w3 6.0 inagoma kuroot nitairoot aje
ReplyDeleteAnd mee to
DeleteNatumia tecno w3 6.0 inagoma kuroot nitairoot aje
ReplyDeleteNatumia tecno C8 inagoma kuroot
ReplyDeleteNatumia tecno C8 inagoma kuroot
ReplyDeleteNimejaribu ku root samsung j7 zaid ya mara 3 inaishia 53% naomba msaada nifanyaje nifanyaje imalize
ReplyDeleteNimejaribu ku root samsung j7 zaid ya mara 3 inaishia 53% naomba msaada nifanyaje nifanyaje imalize
ReplyDeleteniliiroot kwa kingroot ila ikawa kama inastack na inakuwa ya moto zaidi upande wa kwenye cha kuchajia naomba unielekeze namna ya kuiroot kwa pc 0656550367 namba zangu
ReplyDelete