JINSI YA KUFICHA APPS KATIKA SIMU YAKO |
Kuna njia nyingi za kufanya hivyo lakini leo tutajifunza moja tu ya ufanisi na bora ya kuficha icons / programu
HATUA:
- Hakikisha simu yako ipo rooted, kama hujaroot au hufaamu namna ya kuroot BOFYA HAPA
- Pakua ICON HIDER PAKUA HAPA
- Install app
- Fungua programu na uingize nenosiri ambalo utatumia wakati ujao unapofungua programu
- Chagua programu / icons ambazo unataka kuficha
- Funga programu na programu zote ulizochagua zitafichwa
Hongera, simu yako sasa ipo salama !!!
1 Comments
Nimekupt but me sim yang sijarut natak nitumie njia ya kwanza.ningeomba utupe launcher ambayo tutaitumia kwa wasiorut am.
ReplyDelete