ICON HIDER |
“IconHider” itakusaidia kuficha app zote ambazo utaki watu wazione
App hii inahitaji simu ambayo ipo rooted! Endapo hujaroot au hujui maana ya kuroot ingia hapa: JINSI YA KUROOT SIMU
Mahitaji:
• Inahitaji: Android 4.0 au zaidiJINSI YA KUDOWNLOAD:
- Bofya picha ya download hapo chini
- Subiri kwa sekunde 5 kisha bonyeza "Skip ad"
- Ukurasa wa kudownload utatokea kisha bonyeza download na itaanza kudownload
TAHADHARI: USITUMIE OPERA MIN KUDOWNLOAD, TUMIA BROWSER KAMA VILE GOOGLE CHROME AU MOZILLA FIREFOX
ICON HIDER |
1 Comments
IPO safi sana
ReplyDelete