RECENT COMMENTS

header ads

JINSI YA KUPAKUA VIDEO KUTOKA FACEBOOK BILA APP YOYOTE


JINSI YA KUDOWNLOAD VIDEO KUTOKA FACEBOOK BILA APP YOYOTE

Je! Una shida kupakua video kutoka Facebook?Naam, chapisho hili litatatua tatizo lako!Huna haja ya kutumia programu yoyote ya kufanya hivyo kwani programu hizo mara nyingi huwa na matangazo mengi na zinaweza kusababisha simu yako kuisha chaji kwa haraka na kua nzito!
Ili kupakua video kutoka Facebook, unahitaji (kiungo)link ya videoIkiwa unatumia kivinjari(browser) utapata kiungo(link) kwenye sehemu ya anwani(adress bar) lakini ikiwa unatumia programu ya Facebook, ifungue video utakayo kisha bonyeza sambaza(share), badirisha faragha(privacy) iwe "only me/mimi pekee" ili kuzuia wengine kuiona!

Nenda katika wasifu wako(profile yako) na utaiona video ulio share. Kwenye upande wa kulia juu ya chapisho la video, bonyeza kialama cha mshare kinachoelekea chini kisha bonyeza "Copy link"

Fungua kivinjari(browser) chochote kwenye simu yako na paste kiungo(link) uliokopy kutoka facebook kwenye bar ya anwani.Angalia mwanzo wa kiungo(link) utakuta (www) badili iwe (m)
mfano,Ikiwa kiungo kilikuwa: https://www.facebook.com/androidkona/videos/1118620431518242/Inapaswa kuwa: https://m.facebook.com/androidkona/videos/1118620431518242/
Sasa baada ya kufungua kiungo bonyeza save / kupakua video kulingana na kivinjari unachotumia.Kisha video itapakuliwa!
Hongera sasa unaweza kucheza video uliyopakuwa wakati wowote unaotaka!



TAFADHARI SHARE POST

Post a Comment

1 Comments