OGYOUTUBE |
OGYoutube ni app kama youtube ambayo inakupa uwezo zaidi ya Youtube.
App hii itakupa uwezo wa kutazama video ukiwa nnje ya youtube, kudownload video/audio kutoka youtube pamoja na mambo mengine mengi!
App hii itakupa uwezo wa kutazama video ukiwa nnje ya youtube, kudownload video/audio kutoka youtube pamoja na mambo mengine mengi!
Kutokana na uwezo huo, app hii inahitaji simu ambayo ipo rooted
Endapo hujaroot au hujui maana ya kuroot ingia hapa: JINSI YA KUROOT SIMU
1 |
2 |
- Mahitaji:
• Inahitaji: Android 3.2 au zaidiJINSI YA KUDOWNLOAD:
- Bofya picha ya download hapo chini
- Subiri kwa sekunde 5 kisha bonyeza "Skip ad"
- Ukurasa wa kudownload utatokea kisha bonyeza download na itaanza kudownload
TAHADHARI: USITUMIE OPERA MIN KUDOWNLOAD, TUMIA BROWSER KAMA VILE GOOGLE CHROME AU MOZILLA FIREFOX
IF YOU FACE ANY PROBLEM, LET ME KNOW IN THE COMMENT BOX
0 Comments