![]() | ||
JINSI YA KUTUMIA WHATSAPP 2 KWENYE SIMU MOJA |
Ni rahisi sana kuwa na whatsapp mbili kwenye simu yako.
Huitaji kuwa na simu yenye line mbili ili kuwa na whatsapp mbili kwenye simu moja. Unaweza kuinstall whatsapp mbili hata kama simu ina line moja tu!
HATUA:
- Pakua GBwhatsapp PAKUA HAPA
- Install GBwhatsapp
- Fuata hatua zote kama ambayo unafuata unapo install whatsapp kutoka playstore
Sasa kufurahia kutumia whatsapp mbili katika android yako!
0 Comments