RECENT COMMENTS

header ads

JINSI YA KUPATA INTERNET BURE (NA UTHIBITISHO)

JINSI YA KUPATA INTERNET BURE (NA UTHIBITISHO)
Je! Umewahi kutaka kutumia internet lakini haukuweza kutokana na kukosa bando la internet?
Naam, sasa ni wakati wa kuagana na malipo ya bando za internet!

Leo nitawafundisha jinsi ya internet ya bure (100mb) kila siku!
Huna haja ya kuwa na hofu tena Ungana nami mwanzo mpaka mwisho kufahamu!

Kabla ya kuanza hatua hizi, ni lazima simu yako iwe rooted, kama hufahamu namna ya kuroot simu yako au kama hufaamu nini maana ya kuroot simu, tafadhari
BOFYA HAPA 
Hatua:
1. Pakua programu ya DROID VPN kutoka kiungo(link) hapo chini:
BOFYA HAPA KUPAKUA2. Fungua programu na uende kwenye SETTINGS
3. Chagua CONFIGURE ACCOUNT
4. Bonyeza REGISTER NEW ACCOUNT
5. Jaza usajili wako kisha uende kwenye barua pepe yako iliyosajiliwa ili usome maelezo ambayo yanajumuisha jina la mtumiaji na nenosiri
6. Rudia hatua ya 2 na hatua ya 3 kujaza taarifa zilizotumwa kwenye maelezo yaliyotumwa kwa barua pepe yako
7. Bonyeza CONNECT na furahia internet ya bure kila siku

NB: Programu hii imejaribiwa na line ya Vodacom na ilifanya kazi 100% kamilifu. Ikiwa unatumia line nyingine ya sim na imefanya kazi tafadhali nijulishe katika sanduku la maoni na pia ikiwa haikufany
a kazi tafadhali napenda kujua line ya mtandao unaotumia kwa kuniandikia kwenye sanduku la maoni

VIDEO HII INAKUONESHA NAMNA YA KUPATA INTERNET BURE


TAFADHARI SAMBAZA POST

Post a Comment

3 Comments

  1. Samahan nahitaj maelezo kidg kuhusu hii app..nmei install na nimeshafungua account but inakua disconnect tatizo nn na bundle ninalo.natumia voda

    ReplyDelete
  2. inabidi nitumie brows gan ili iweze ku download hii app

    ReplyDelete
  3. Mimi natumia vodacom ya msumbiji vpn inatumika?

    ReplyDelete