IFANYE SIMU YAKO YA ANDROID IWE NA MUONEKANO KAMA WA IPHONE |
Umewai kutamani kubadili muonekano wa simu yako ya android kuwa kama muonekano wa simu za Iphone?
Fuata hatua zifuatazo kubadili muonekano wa simu yako.
HATUA
1. Pakua na install "ilaucher"
2.Ifungue na iruhusu kuwa default laucher
3. Download na install "inoty"
4. Ifungue na iruhusu kuanza kufanya kazi
5. Download na install "ios keyboard"
6. Iruhusu kuwa default keyboard yako
Furahia muonekano wa Iphone katika android yako!
JINSI YA KUDOWNLOAD:
- Bofya picha ya download hapo chini
- Subiri kwa sekunde 5 kisha bonyeza "Skip ad"
- Ukurasa wa kudownload utatokea kisha bonyeza download na itaanza kudownload
TAHADHARI: USITUMIE OPERA MIN KUDOWNLOAD, TUMIA BROWSER KAMA VILE GOOGLE CHROME AU MOZILLA FIREFOX
5 Comments
Link for iluncher is inactive
ReplyDeleteLink for iluncher is inactive
ReplyDeleteIko poa sana
ReplyDeleteNice work guys me imekubal bt cpat notification i don't know why maybe if there's some one who knows that problem to help us
ReplyDeleteDooh
ReplyDelete