JINSI YA KUBADILI MWANDIKO
Je, umechoshwa na mwandiko  wa android yako?  
Leo  nimekuandalia post hii kukufundisha jinsi ya kubadilisha mwandiko katika android yako! 
Ni rahisi sana kubadili mwandiko katika android yako. Unachotakiwa kufanya ni kufuata hatua zifuatazo

Hatua:

  •      Hakikisha simu yako ipo rooted. Endapo hujaroot simu yako au hujui chochote kuhusu kuroot simu BOFYA HAPA
  •      Pakua IFONT kwa kubonyeza kifungo(link) ya kupakua mwishoni mwa post hii
  •      Fungua IFONT na ipe ruhusa ya kutumia root kwa kubonyeza "allow"
  •      Chagua mwandiko unaoutaka kisha bonyeza Install
  •     Zima simu yako kisha washa tena na mwandiko utabadilika!


VIDEO HII INAKUONESHA NAMNA YA KUBADILI MWANDIKO KATIKA SIMU YAKO



http://adf.ly/1fwQAe


BOFYA HAPA KUPAKUA IFONT
Mahitaji:

    
• Inahitaji: Android 2.2 au zaidiJINSI YA KUDOWNLOAD:

  •     Bofya picha ya download hapo chini
  •    Subiri kwa sekunde 5 kisha bonyeza "Skip ad"
  •    Ukurasa wa kudownload utatokea kisha bonyeza  download na itaanza kudownload



TAHADHARI: USITUMIE OPERA MIN KUDOWNLOAD, TUMIA BROWSER KAMA VILE GOOGLE CHROME AU MOZILLA FIREFOX